Half keki/Mandazi
Vipimo
4 vikombe - unga kusudi 1/2 tbsp - Hamira 1/2 tbsp - Baking soda 1/8 tbsp - Chumvi 1 kikombe - sukari 1 kikombe - maji/maziwa, upendevo 1/4 kikombe - mafuta/siagi 2 vikombe - Mafuta kwa ajili ya kukaranga
Maelezo
1 Mix unga, hamira, baking soda, chumvi na sukari pamoja. 2. Kisha weka mafuta na uchanganye vizuri 3. Weka maji au maziwa na kanda unga mpaka ulainike kwa
dakika kumi. ongeza unga au maji kama ni lazima. 4. Funika unga na uweke pahali pa joto ili upate kuumuka vizuri. uwache uumuke kama dakika 40 5. Baada ya kuumuka kanda unga wako tena na usukume kama chapati 6. Kisha kata kata saiz yoyote upendayo 10 weka mafuta jiko, kaanga half kake zako kwa moto wa kawaida (golden brown on both sides) 11. then weka half keki zake kwenye a paper towel ili kufunza mafuta.