top of page

Banana Pancakes


Bananapancakes

Mahitaji:

4 Servings

Ndizi mbivu 1

Yai 1

sukari 1 cup

unga wa ngano 2 1/2 cup

Siagi vijiko 2 vya chakula

Vanilla kijiko 1 cha chai

Baking powder vijiko 2 vya chai

Asali kiasi (silazima)

Namna ya kupika:

1: Yeyusha siagi na usage pamoja na yai

2: Kisha weka unga, vanilla, paking powder na sukari na uendelea kuchanyanga vizuri.

3: Chukua ndizi na uiponde ponde kwa kutumia uma mpaka ipondeke vizuri kisha

4: Baada ya hapo utaweka ndizi yako kwenye mchanganyiko wa pancakes.

5: washa jiko lako na uweke kikaango chako jikoni na kikishapata moto basi unaweza kuanza kukaanga pancakes zako.

6: Weka pancakes zako kwenye sahani yako safi na upambe kwa kama ilivo pichani na kisha unyunyuzie asali kwa juu na pancakes zako zitakua tayari kwa kuliwa.

Obs!! Hutatumia mafuta kwenye kukaanga


bottom of page