top of page

Rosti la Samaki wa kukaanga na Viazi

  • Hadija's Kitchen
  • 16 nov. 2018
  • 1 min läsning

Mahitaji

Viazi mbatata 3

Kitungu 1

Kitungu swaumu kijiko 1 cha chai

Hoho 1

Karoti 1

Samaki wa kukaanga (Sato 1)

Chumvi kiasi

Mafuta ya kupikia

Garam-masala kijiko 1 cha chai

Binzari nyembamba kijiko 1 cha chai

Nyanya nzito kijiko 1 kikubwa

Bay leaf jani 1


 
 
 

コメント


© 2023 by Salt & Pepper. Proudly created with Wix.com

bottom of page